Marko 4:27
Usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
26Yesu akaendelea kusema, “Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani.
Cross References
John 3:7Usistaajabu kwamba nimekwambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
2 Thessalonians 1:3Ndugu, tunapaswa kushukuru Mungu daima kwa ajili yenu. Inafaa kwetu kufanya hivyo kwani imani yenu inakua sana na kupendana kwenu kunaongezeka sana.