bible.software › Marko › Marko 5 › Marko 5:14
Marko 5:14
Wachungaji wa hao nguruwe walikimbia, wakatangaza jambo hilo mjini na mashambani. Watu wakafika kuona yaliyotukia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they that fed the swine fled, and told it in the city, and in the country. And they went out to see what it was that was done.
In Context
13Naye akawaruhusu. Basi, hao pepo wachafu wakatoka, wakawaingia wale nguruwe. Kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likaporomoka kwenye ule mteremko mkali mpaka ziwani, likatumbukia majini.
15Wakamwendea Yesu, wakamwona na mtu yuleyule aliyekuwa amepagawa na jeshi la pepo ameketi chini, amevaa nguo na ana akili yake sawa, wakaogopa.
Read all of Marko 5
Cross References
Luke 8:34Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari, mjini na mashambani.
This Verse In Other Editions
Study Marko 5:14