Marko 5:31
Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi watu wanavyokusonga; mbona wauliza nani aliyekugusa?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
32Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo.
Cross References
Luke 8:45Yesu akasema, “Ni nani aliyenigusa?” Wote wakasema kwamba hapakuwa na mtu aliyemgusa. Naye Petro akasema, “Mwalimu, umati wa watu umekuzunguka na kukusonga!”