Marko 5:33
Hapo huyo mwanamke, akifahamu yaliyompata, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa chini mbele ya Yesu na kusema ukweli wote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
32Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo.
34Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako.”
Cross References
Luke 1:12Zakariya alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Luke 8:47Yule mwanamke alipoona kwamba hawezi kujificha, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa mbele ya Yesu. Hapo akaeleza mbele ya wote kisa cha kumgusa Yesu na jinsi alivyoponyeshwa mara moja.