bible.software › Marko › Marko 6 › Marko 6:23
Marko 6:23
Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa: hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he sware unto her, Whatsoever thou shalt ask of me, I will give it thee, unto the half of my kingdom.
In Context
22Basi, binti yake Herodia aliingia, akacheza, akawafurahisha sana Herode na wageni wake. Mfalme akamwambia huyo msichana, “Niombe chochote utakacho, nami nitakupa.”
24Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane mbatizaji.”
Read all of Marko 6
Cross References
Matthew 5:34Lakini mimi nawaambieni, msiape kamwe; wala kwa mbingu, maana ni kiti cha enzi cha Mungu;
This Verse In Other Editions
Study Marko 6:23