Marko 6:29
Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakachukua mwili wake, wakauzika kaburini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when his disciples heard of it, they came and took up his corpse, and laid it in a tomb.
In Context
28akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake.
30Wale mitume walirudi, wakakusanyika mbele ya Yesu wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.
Cross References
Matthew 14:12Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu.
Acts 8:2Watu wamchao Mungu, walimzika Stefano na kumfanyia maombolezo makubwa.