bible.software › Marko › Marko 6 › Marko 6:4
Marko 6:4
Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But Jesus said unto them, A prophet is not without honour, but in his own country, and among his own kin, and in his own house.
In Context
3Je, huyu si yule seremala mwana wa Maria, na ndugu yao kina Yakobo, Yose, Yuda na Simoni; Je, dada zake si wanaishi papa hapa kwetu?” Basi, wakawa na mashaka naye.
5Hakuweza kutenda miujiza hapo, ila aliwawekea mikono wagonjwa wachache, akawaponya.
Read all of Marko 6
Cross References
Luke 4:24Akaendelea kusema, “Hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi katika kijiji chake.
This Verse In Other Editions
Study Marko 6:4