Marko 6:42
Watu wote wakala, wakashiba.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they did all eat, and were filled.
In Context
43Wakaokota mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Cross References
Matthew 14:20Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Mark 8:8Watu wakala, wakashiba. Wakaokota mabaki yaliyosalia wakajaza makapu saba.
John 6:12Watu waliposhiba Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kusanyeni vipande vilivyobaki visipotee.”