Marko 6:8
na kuwaamuru, “Msichukue chochote mnapokwenda isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kibindoni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
9Vaeni viatu lakini msivae kanzu mbili.”
Cross References
Matthew 10:9Msichukue mifukoni mwenu dhahabu, wala fedha, wala sarafu za shaba.
Luke 10:4Msichukue mfuko wa fedha, mkoba, wala viatu; msimsalimu mtu yeyote njiani.