Marko 7:16
Mwenye masikio na asikie!
Biblia Takatifu
In The King James Version
If any man have ears to hear, let him hear.
In Context
17Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano.
Cross References
Mark 4:9Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!”
Revelation 2:7“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Wale wanaoshinda nitawapa haki ya kula matunda ya mti wa uzima ulioko ndani ya bustani ya Mungu.
Revelation 2:17“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Wale wanaoshinda nitawapa ile mana iliyofichika. Nitawapa pia jiwe jeupe lililoandikwa jina jipya ambalo hakuna mtu aliyelijua isipokuwa tu wale wanaolipokea.
Revelation 3:6“Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!
Revelation 3:22“Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!”