Marko 7:33
Yesu akamtenga na umati wa watu, akamtia vidole masikioni, akatema mate na kumgusa ulimi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
32Basi, wakamletea bubu-kiziwi, wakamwomba amwekee mikono.
34Kisha akatazama juu mbinguni, akapiga kite, akamwambia, “Efatha,” maana yake, “Funguka.”
Cross References
Mark 8:23Yesu akamshika mkono huyo kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono, akamwuliza, “Je, unaweza kuona kitu?”