Marko 8:18
Je, Mnayo macho na hamwoni? Mnayo masikio na hamsikii? Je, hamkumbuki
Biblia Takatifu
In The King James Version
Having eyes, see ye not? and having ears, hear ye not? and do ye not remember?
In Context
Cross References
Matthew 13:14Kwao yametimia yale aliyosema nabii Isaya: Kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; Kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
John 12:40“Mungu ameyapofusha macho yao, amezipumbaza akili zao; wasione kwa macho yao, wasielewe kwa akili zao; wala wasinigeukie, asema Bwana, ili nipate kuwaponya.”