bible.software › Marko › Marko 8 › Marko 8:24
Marko 8:24
Huyo kipofu akatazama, akasema, “Ninawaona watu wanaoonekana kama miti inayotembea.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he looked up, and said, I see men as trees, walking.
In Context
23Yesu akamshika mkono huyo kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono, akamwuliza, “Je, unaweza kuona kitu?”
25Kisha Yesu akamwekea tena mikono machoni, naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa.
Read all of Marko 8
Cross References
1 Corinthians 13:9Maana ujuzi wetu si kamili, na kipaji chetu cha kutangaza neno la Mungu si kamili.
This Verse In Other Editions
Study Marko 8:24