Marko 9:10
Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka wafu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
11Wakamwuliza Yesu, “Mbona walimu wa Sheria wanasema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?”
Cross References
Matthew 16:22Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!”
Luke 2:50Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia.
Luke 24:7Ni lazima Mwana wa Mtu atolewe kwa watu waovu, nao watamsulubisha, na siku ya tatu atafufuka.”
John 2:19Yesu akawaambia, “Vunjeni Hekalu hili, nami nitalijenga kwa siku tatu.”
John 12:33(Kwa kusema hivyo alionyesha atakufa kifo gani).
John 16:29Basi, wanafunzi wake wakamwambia, “Ahaa! Sasa unasema waziwazi kabisa bila kutumia mafumbo.