Marko 9:21
“Amepatwa na mambo hayo tangu lini?” Naye akamjibu, “Tangu utoto wake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he asked his father, How long is it ago since this came unto him? And he said, Of a child.
In Context
Cross References
Mark 5:25Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili.
Luke 13:16Sasa, hapa yupo binti wa Abrahamu ambaye Shetani alimfanya kilema kwa muda wa miaka kumi na minane. Je, haikuwa vizuri kumfungulia vifungo vyake siku ya Sabato?”
John 9:1Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa.
Acts 3:2Na pale karibu na mlango wa Hekalu uitwao “Mlango Mzuri”, palikuwa na mtu mmoja, kiwete tangu kuzaliwa. Watu walimbeba huyo mtu kila siku na kumweka hapo ili aombe chochote kwa wale waliokuwa wakiingia Hekaluni.
Acts 9:33Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Enea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.