Marko 9:24
Hapo, huyo baba akalia kwa sauti, “Naamini! Lakini imani yangu haitoshi, nisaidie!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
23Yesu akamwambia, “Eti ikiwa waweza! Mambo yote yanawezekana kwa mtu aliye na imani.”
Cross References
Luke 7:38Akaja, akasimama karibu na miguu yake Yesu, akilia, na machozi yake yakamdondokea Yesu miguuni. Huyo mwanamke akaipangusa miguu ya Yesu kwa nywele zake. Kisha akaibusu na kuipaka yale marashi.
Luke 17:5Mitume wakamwambia Bwana, “Utuongezee imani.”
Acts 10:31akasema: Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini vimekubaliwa na Mungu.
Ephesians 2:8Maana, kwa neema ya Mungu mmekombolewa kwa njia ya imani. Jambo hili si matokeo ya juhudi zenu, bali ni zawadi ya Mungu.