bible.software › Marko › Marko 9 › Marko 9:40
Marko 9:40
Maana, asiyepingana nasi, yuko upande wetu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For he that is not against us is on our part.
In Context
39Lakini Yesu akasema, “Msimkataze, maana hakuna mtu anayefanya muujiza kwa jina langu, na papo hapo akaweza kusema mabaya juu yangu.
41Mtu yeyote atakeyewapeni kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu ninyi ni watu wake Kristo, hakika hatakosa kupata tuzo lake.
Read all of Marko 9
Cross References
Matthew 12:30“Yeyote asiyejiunga nami, anapingana nami; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
This Verse In Other Editions
Study Marko 9:40