Mathayo 10:35
Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.
36Na maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.
Cross References
Matthew 24:10Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana.
Luke 21:16Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti ninyi; na baadhi yenu mtauawa.