Mathayo 11:2
Yohane mbatizaji akiwa gerezani alipata habari juu ya matendo ya Kristo. Basi, Yohane akawatuma wanafunzi wake,
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now when John had heard in the prison the works of Christ, he sent two of his disciples,
In Context
3wamwulize: “Je, wewe ni yule anayekuja, au tumngoje mwingine?”
Cross References
Matthew 4:12Yesu aliposikia kwamba Yohane ametiwa gerezani alikwenda Galilaya.
Matthew 14:3Herode ndiye aliyekuwa amemtia Yohane nguvuni, akamfunga minyororo na kumtia gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake. Sababu hasa ni
Luke 3:19Lakini Yohane alimgombeza Herode, mkuu wa mkoa, kwa sababu alikuwa amemchukua Herodia, mke wa ndugu yake, na kumfanya mke wake; na pia kwa ajili ya mabaya yote aliyokuwa amefanya.
John 3:24(Wakati huo Yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.)
Acts 19:1Wakati Apolo alipokuwa Korintho, Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa.