Mathayo 11:26
Naam Baba, ndivyo ilivyokupendeza.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Even so, Father: for so it seemed good in thy sight.
In Context
Cross References
Romans 9:18Ni wazi, basi, kwamba Mungu humhurumia yeyote anayetaka kumhurumia, na akipenda kumfanya mtu awe mkaidi, hufanya hivyo.
Ephesians 1:9Mungu alitekeleza kile alichonuia, akatujulisha mpango wake uliofichika, ambao alikuwa ameazimia kuutekeleza kwa njia ya Kristo.
Ephesians 3:11Mungu alifanya jambo hilo kufuatana na azimio lake la milele ambalo amelifanya kwa njia ya Kristo Bwana wetu.