Mathayo 12:13
Kisha akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Akaunyosha, nao ukawa mzima kabisa kama ule mwingine.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
12Mtu ana thamani kuliko kondoo! Basi, ni halali kutenda mema siku ya Sabato.”
14Basi, Mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza Yesu.
Cross References
Acts 3:7Halafu, akamshika mkono wa kulia, akamwinua. Papo hapo miguu na magoti yake yakapata nguvu.