Mathayo 12:19
Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
He shall not strive, nor cry; neither shall any man hear his voice in the streets.
In Context
Cross References
Matthew 11:29Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.
John 18:36Yesu akamjibu, “Ufalme wangu si wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu watumishi wangu wangenipigania nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini sasa ufalme wangu si wa hapa.”
2 Timothy 2:24Mtumishi wa Bwana asigombane. Anapaswa kuwa mpole kwa watu wote, mwalimu mwema na mvumilivu,