Mathayo 12:26
Ikiwa Shetani anamfukuza Shetani, anajipinga mwenyewe. Basi, ufalme wake utasimamaje?
Biblia Takatifu
In The King James Version
And if Satan cast out Satan, he is divided against himself; how shall then his kingdom stand?
In Context
Cross References
John 12:31Sasa ndio wakati wa ulimwengu huu kuhukumiwa; sasa mtawala wa ulimwengu huu atapinduliwa.
John 16:11kuhusu hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.
Colossians 1:13Yeye alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi,
Revelation 9:11Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani mwangamizi.
Revelation 16:10Kisha malaika wa tano akamwaga bakuli lake juu ya makao makuu ya yule mnyama. Giza likauvamia utawala wake, watu wakauma ndimi zao kwa sababu za maumivu,