Mathayo 12:41
Watu wa Ninewi watatokea siku ya hukumu, nao watakihukumu kizazi hiki kwamba kina hatia. Maana Waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko Yona!
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 12:6Basi, nawaambieni kwamba hapa pana kikuu kuliko Hekalu.
Matthew 12:42Malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. Maana yeye alisafiri kutoka mbali akaja kusikiliza maneno ya hekima ya Solomoni, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko Solomoni.
Matthew 16:4Kizazi kiovu kisicho na uaminifu! Mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara yoyote isipokuwa tu ile ya Yona.” Basi, akawaacha, akaenda zake.
Matthew 23:36Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.