Mathayo 13:43
Kisha, wale wema watang'ara kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Sikieni basi, kama mna masikio!
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
42na kuwatupa katika tanuru ya moto, na huko watalia na kusaga meno.
Cross References
Matthew 11:15Mwenye masikio na asikie!
Matthew 25:36nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.
Luke 12:32“Msiogope, enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa kuwapeni Ufalme.
1 Corinthians 15:41Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri.
James 2:5Ndugu zangu wapenzi, sikilizeni! Mungu amechagua watu ambao ni maskini katika ulimwengu huu ili wapate kuwa matajiri katika imani na kupokea Utawala aliowaahidia wale wanaompenda.