Mathayo 15:20
Hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu najisi.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
These are the things which defile a man: but to eat with unwashen hands defileth not a man.
In Context
21Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni.
Cross References
Matthew 23:25“Ole wenu walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnasafisha kikombe na bakuli kwa nje, lakini ndani mnaacha kumejaa vitu mlivyopata kwa unyang'anyi na uchoyo.
Luke 11:38Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa.
1 Corinthians 6:9Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti,
Ephesians 5:3Kwa vile ninyi ni watu wa Mungu, basi uasherati, uchafu wowote ule au choyo visitajwe kamwe miongoni mwenu.
Revelation 21:27Lakini hakuna chochote kilicho najisi kitakachoingia humo; wala mtu yeyote atendaye mambo ya kuchukiza au ya uongo hataingia humo. Ni wale tu walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwanakondoo ndio watakaoingia ndani.