Mathayo 15:37
Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya makombo, wakajaza vikapu saba.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
38Hao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Cross References
Matthew 14:20Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.
Matthew 16:9Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu elfu tano? Je, mlijaza vikapu vingapi vya makombo?
Mark 8:19wakati ule nilipoimega ile mikate mitano na kuwapa watu elfu tano? Mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki ya makombo?” Wakamjibu, “Kumi na viwili.”