Mathayo 15:7
Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
Biblia Takatifu
In The King James Version
Ye hypocrites, well did Esaias prophesy of you, saying,
In Context
8Watu hawa, asema Mungu, huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
Cross References
Matthew 7:5Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako na hapo ndipo utaona waziwazi kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichoko jichoni mwa ndugu yako.
Mark 7:6Yesu akawajibu, “Wanafiki ninyi! Nabii Isaya alitabiri ukweli juu yenu alipoandika: Watu hawa, asema Mungu, huniheshimu kwa maneno matupu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.