Mathayo 15:9
Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But in vain they do worship me, teaching for doctrines the commandments of men.
In Context
8Watu hawa, asema Mungu, huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
10Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na muelewe!