Mathayo 18:13
Akimpata, nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
14Hali kadhalika, Baba yenu wa mbinguni hapendi hata mmoja wa hawa wadogo apotee.
Cross References
Luke 15:23Mchinjeni ndama mnono; tule kusherehekea!
James 2:13Maana, Mungu hatakuwa na huruma atakapomhukumu mtu asiyekuwa na huruma. Lakini huruma hushinda hukumu.