Mathayo 18:26
Basi, huyo mtumishi akapiga magoti mbele yake, akasema, Unisubiri nami nitakulipa deni lote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
27Yule bwana alimwonea huruma, akamsamehe lile deni, akamwacha aende zake.
Cross References
Matthew 8:2Basi, akaja mtu mmoja mwenye ukoma, akamsujudia akisema, “Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa!”
Luke 7:43Simoni akamjibu, “Ni dhahiri kwamba yule aliyesamehewa deni kubwa zaidi atampenda zaidi yule bwana.” Yesu akamwambia, “Sawa.”