Mathayo 18:34
“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
33Je, haikukupasa nawe kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?
Cross References
Matthew 18:30Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni.
2 Thessalonians 1:8na miali ya moto, kuwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu.
Revelation 14:10yeye mwenyewe atakunywa divai ya ghadhabu ya Mungu, ambayo imemiminwa katika kikombe cha ghadhabu yake bila kuchanganywa na maji. Mtu huyo atateseka ndani ya moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu na mbele ya Mwanakondoo.