bible.software › Mathayo › Mathayo 19 › Mathayo 19:13
Mathayo 19:13
Kisha watu wakamletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono na kuwaombea. Lakini wanafunzi wakawakemea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then were there brought unto him little children, that he should put his hands on them, and pray: and the disciples rebuked them.
In Context
12Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine wameamua kutooa kwa ajili ya Ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee.”
14Yesu akasema, “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana Ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa.”
Read all of Mathayo 19
Cross References
Matthew 18:2Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao,
Mark 10:13Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.
Luke 9:54Basi, wanafunzi wake, kina Yohane na Yakobo, walipoona hayo, wakasema, “Bwana, wataka tuamuru moto ushuke kutoka mbinguni uwateketeze?”
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 19:13