Mathayo 19:20
Huyo kijana akamwambia, “Hayo yote nimeyazingatia tangu utoto wangu; sasa nifanye nini zaidi?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
The young man saith unto him, All these things have I kept from my youth up: what lack I yet?
In Context
19waheshimu baba yako na mama yako; na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”
Cross References
Mark 10:20Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.”
Luke 15:29Lakini yeye akamjibu: Kumbuka! Miaka yote nimekutumikia, sijavunja amri yako hata mara moja. Umenipa nini? Hujanipa hata mwana mbuzi mmoja nikafanye sherehe pamoja na rafiki zangu!
Luke 18:21Yeye akasema, “Hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.”
Romans 3:19Tunajua kwamba Sheria huwahusu walio chini ya Sheria hiyo, hata hawawezi kuwa na kisingizio chochote, na ulimwengu wote uko chini ya hukumu ya Mungu.
Galatians 3:24Basi, hiyo Sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja Kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu.