Mathayo 2:15
Akakaa huko mpaka Herode alipokufa. Jambo hilo lilifanyika ili neno alilosema Bwana kwa njia ya nabii litimie: “Nilimwita Mwanangu kutoka Misri.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
14Hivyo, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka usiku, akaenda Misri.
Cross References
Matthew 2:17Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya nabii Yeremia:
Matthew 2:23akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: “Ataitwa Mnazare.”
Matthew 8:17Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie: “Yeye mwenyewe ameondoa udhaifu wetu, ameyachukua magonjwa yetu.”
Matthew 21:4Jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa na nabii yatimie: