Mathayo 2:4
Basi akawaita pamoja makuhani wakuu wote na walimu wa Sheria, akawauliza, “Kristo atazaliwa wapi?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
3Mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, yeye pamoja na wakazi wote wa Yerusalemu.
5Nao wakamjibu, “Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo nabii alivyoandika:
Cross References
Matthew 7:29Hakuwa kama walimu wao wa Sheria, bali alifundisha kwa mamlaka.