Mathayo 20:24
Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakawakasirikia hao ndugu wawili.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when the ten heard it, they were moved with indignation against the two brethren.
In Context
Cross References
Mark 10:41Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na Yakobo na Yohane.
1 Corinthians 13:4Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni.
James 3:14Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli.
1 Peter 5:5Kadhalika nanyi vijana mnapaswa kujiweka chini ya mamlaka ya wazee. Ninyi nyote mnapaswa kuwa na unyenyekevu mpate kutumikiana; maana Maandiko Matakatifu yasema: “Mungu huwapinga wenye majivuno, lakini huwajalia neema wanyenyekevu.”