Mathayo 20:28
Jinsi hiyohiyo, Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
27na anayetaka kuwa wa kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu.
29Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.
Cross References
Matthew 26:28maana hii ni damu yangu inayothibitisha agano, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi ili kuwaondolea dhambi.
Luke 22:27Kwa maana, ni nani aliye mkuu: yule anayeketi mezani kula chakula, ama yule anayetumikia? Bila shaka ni yule anayeketi mezani kula chakula! Hata hivyo, mimi niko hapa kati yenu kama mtumishi.