Mathayo 21:1
Yesu na wanafunzi wake walipokaribia Yerusalemu na kufika Bethfage katika mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 26:30Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Mark 14:26Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Luke 21:37Wakati wa mchana, siku hizo, Yesu alikuwa akifundisha watu Hekaluni; lakini usiku alikuwa akienda katika mlima wa Mizeituni na kukaa huko.
John 8:1lakini Yesu akaenda kwenye mlima wa Mizeituni.