Mathayo 21:13
Akawaambia, “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala. Lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
14Vipofu na vilema walimwendea huko Hekaluni, naye Yesu akawaponya.
Cross References
Matthew 2:5Nao wakamjibu, “Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo nabii alivyoandika:
Luke 19:46akisema, “Imeandikwa: Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.”