Mathayo 21:22
Na mkiwa na imani, chochote mtakachoomba katika sala, mtapata.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And all things, whatsoever ye shall ask in prayer, believing, ye shall receive.
In Context
Cross References
Matthew 7:11Kama basi ninyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba.
Mark 11:24Kwa hiyo nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, aminini kwamba mmekipokea, nanyi mtapewa.
John 14:13Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
John 16:24Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.
1 John 3:22na twaweza kupokea kwake chochote tunachoomba, maana tunazitii amri zake na kufanya yale yanayompendeza.