Mathayo 21:3
Kama mtu akiwauliza sababu, mwambieni, Bwana anawahitaji, naye atawaachieni mara.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
4Jambo hili lilifanyika ili yale yaliyosemwa na nabii yatimie:
Cross References
John 3:35Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.
Acts 17:25Wala hatumikiwi kwa mikono ya watu kana kwamba anahitaji chochote kile, kwa maana yeye mwenyewe ndiye anayewapa watu uhai, anawawezesha kupumua na anawapa kila kitu.