Mathayo 21:37
Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: Watamheshimu mwanangu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But last of all he sent unto them his son, saying, They will reverence my son.
In Context
Cross References
Mark 12:6Alibakiwa bado na mtu mmoja, yaani mwanawe mpendwa. Mwishowe akamtuma huyo akisema, Watamheshimu mwanangu.
John 1:18Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote ule. Mwana wa pekee aliye sawa na Mungu ambaye ameungana na Baba, ndiye aliyetujulisha habari za Mungu.
John 3:16Maana Mungu aliupenda ulimwengu hivi hata akamtoa Mwana wake wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Hebrews 1:1Hapo zamani, Mungu alisema na babu zetu mara nyingi kwa namna nyingi kwa njia ya manabii,