Mathayo 21:40
“Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
When the lord therefore of the vineyard cometh, what will he do unto those husbandmen?
In Context
39Basi, wakamkamata, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamwua.
Cross References
Luke 20:15Basi, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamwua.” Yesu akauliza, “Yule mwenye shamba atawafanya nini hao wakulima?