Mathayo 22:39
Ya pili inafanana na hiyo: Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the second is like unto it, Thou shalt love thy neighbour as thyself.
In Context
38Hii ndiyo amri kuu ya kwanza.
40Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
Cross References
Matthew 19:19waheshimu baba yako na mama yako; na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”
Luke 10:27Akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na kwa akili yako yote. Na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”
Romans 15:2Kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza jirani yake kwa wema ili huyo apate kujijenga katika imani.
Galatians 6:10Kwa hiyo, tukiwa bado na wakati, tuwatendee watu wote mema, na hasa ndugu wa imani yetu.