Mathayo 22:41
Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
Biblia Takatifu
In The King James Version
While the Pharisees were gathered together, Jesus asked them,
In Context
40Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
42“Ninyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”
Cross References
Matthew 22:15Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake.
Mark 12:35Wakati Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, aliuliza, “Mbona walimu wa Sheria wanasema ya kwamba Kristo ni mwana wa Daudi?