Mathayo 23:10
Wala msiitwe Viongozi, maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Neither be ye called masters: for one is your Master, even Christ.
In Context
9Wala msimwite mtu yeyote Baba hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu aliye mbinguni.
11Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu.
Cross References
Matthew 26:18Yeye akawajibu, “Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie: Mwalimu anasema, wakati wangu umefika; kwako nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.”