Mathayo 23:16
“Ole wenu viongozi vipofu! Ninyi mwasema ati mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, kiapo hicho kinamshika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 15:5Lakini ninyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema: Kitu hiki nimemtolea Mungu,
Matthew 23:17Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: dhahabu au Hekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
Matthew 23:24Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!
Mark 7:10Maana Mose aliamuru: Waheshimu baba yako na mama yako, na, Anayemlaani baba au mama, lazima afe.
Galatians 5:3Nasema tena wazi: kila anayekubali kutahiriwa itambidi kuishika Sheria yote.