Mathayo 23:22
Na anayeapa kwa mbingu ameapa kwa kiti cha enzi cha Mungu, na kwa huyo aketiye juu yake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he that shall swear by heaven, sweareth by the throne of God, and by him that sitteth thereon.
In Context
21Na anayeapa kwa Hekalu ameapa kwa hilo Hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.
Cross References
Acts 7:49Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.