Mathayo 24:12
Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And because iniquity shall abound, the love of many shall wax cold.
In Context
11Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi.
13Lakini atakayevumilia mpaka mwisho, ataokoka.
Cross References
James 5:1Na sasa sikilizeni enyi matajiri! Lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni.
Revelation 2:10Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. Sikiliza! Ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. Muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uzima.